Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Mods Naomba Ndani ya Ft forum ya Biashara,Uchumi na Ujasiliamali Kuwepo na Sub-Gorum ya Viwanda. Tusiishie Kulima na Kufuga tu,Tuanze kupeana maarifa na mbinu za Kuongeza Thamani Mazao ya Kilimo na Mifugo. Hii ni kwa sababu,Kama hatutafanya hivyo mkulima mmoja mmoja au Taifa,tutaendelea kuwa watumwa Wa madalali na Mataifa ya Nje.
Nawasilisha.
Nawasilisha.