Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kampuni ya Kusambaza Umeme nchini Kenya imetangaza kutokea kwa hitilafu kubwa ya umeme usiku wa kuamkia leo Disemba 18, 2024 iliyosababisha kupotea kwa nguvu ya umeme nchini kote, isipokuwa maeneo ya Magharibi na eneo la Bonde la ufa kuanzia majira ya saa sita na robo usiku.
Kupitia taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo haijabainisha chanzo cha hitilafu hiyo na wameyataja maeneo yalioathirika ikiwemo Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nyeri na kaunti nyingine.
Kupitia taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo haijabainisha chanzo cha hitilafu hiyo na wameyataja maeneo yalioathirika ikiwemo Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nyeri na kaunti nyingine.