SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,656 Reaction score 722 Oct 4, 2012 #1 Jamani mimi nina pdf lakini hizi batc zinaonekana nusu ukurasa,,,yaani hazionekani fuul page,,,vp kwenu zinaonekanaje?????
Jamani mimi nina pdf lakini hizi batc zinaonekana nusu ukurasa,,,yaani hazionekani fuul page,,,vp kwenu zinaonekanaje?????
K king rockie ATL JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 260 Reaction score 25 Oct 4, 2012 #2 Kwangu mimi pia iko hivo ila zile page zilizokatika zimeenda chini kabisa so kizisoma ni utata
B Best Mzava Senior Member Joined Jul 20, 2012 Posts 135 Reaction score 10 Oct 4, 2012 #3 Dah nilizani ni kwangu 2,hata me imekata,yaani nimeona jina 2 na kiac cha mkopo bt mchanganuo wenyewe cjaunyaka,kama kunaaliefanikiwa atuhelp.
Dah nilizani ni kwangu 2,hata me imekata,yaani nimeona jina 2 na kiac cha mkopo bt mchanganuo wenyewe cjaunyaka,kama kunaaliefanikiwa atuhelp.