Hitilafu ya batch za sua

Hitilafu ya batch za sua

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
722
Jamani mimi nina pdf lakini hizi batc zinaonekana nusu ukurasa,,,yaani hazionekani fuul page,,,vp kwenu zinaonekanaje?????
 
Kwangu mimi pia iko hivo ila zile page zilizokatika zimeenda chini kabisa so kizisoma ni utata
 
Dah nilizani ni kwangu 2,hata me imekata,yaani nimeona jina 2 na kiac cha mkopo bt mchanganuo wenyewe cjaunyaka,kama kunaaliefanikiwa atuhelp.
 
Back
Top Bottom