Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Leo penyewe ngoma nzito kweli kweli, wale Niger sio wa mchezo mchezo.
 
Hivi hii team yetu si tulipewa ushindi wa mezani kufika huko...
 
Serengeti boys should stay away from politics

If they will try to ask assistance from politicians then ,that will be their end
 
Jamani naomba kujua, hivi kwenye hiyo timu ya Serengeti boyz kuna mwenye familia?
 
Tukikutana na Ghana tutaiondoa mapema sana
 
Hao Ghana ni hatari .


Natabiri hao Ghana ndio watakaochukua hili kombe ,wale jamaa wanatandaza soka hatari .

Bora tuwaepuke mapema
 
wao watakua wamesinzia au?? niny watz hamuez kutunga chirahis ivi..
 
Mawazo mengine yamekaa yamekaa kama sambusa.
 
Ghana wako vizuri kwenye hili tunatakiwa tujifunze kitu kutoka kwao wacheni misifa na zarau mukawapa kiburi watoto tunatakiwa tuwafunze nizamu ili kufikia malengo
 
Hakuna chanel yeyote inayoonyesha hapa nchini halafu tunataka maendeleo ya mpira wa miguu ndoto
 
Sa
Bora Serengeti ishinde ili waiepuke Ghana, tena Ghana anaweza tolewa na yeyote si unajua mpira unadunda!
sasa mbona unaogopa unaiombea Serengeti ushindi mnene ili kuikwepa Ghana.

Ghana na Guinea ni timu nzuri na ngumu ila hata Tanzania wako vizuri sana, lolote linawezekana kwa hizi timu tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…