Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
2.30 usikuHebu saidia kuhusu muda, nimeona ni 1830 CAT, ambao nadhani tumepishana saa moja.
Ibada ya kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2.30 usikuHebu saidia kuhusu muda, nimeona ni 1830 CAT, ambao nadhani tumepishana saa moja.
2.30 usiku
Ibada ya kwanza
pamojaThanks man.
Who told you?Hivi hii team yetu si tulipewa ushindi wa mezani kufika huko...
We will beat them so easilyLeo penyewe ngoma nzito kweli kweli, wale Niger sio wa mchezo mchezo.
wao watakua wamesinzia au?? niny watz hamuez kutunga chirahis ivi..Kwani tuta walipewa bila sababu, wewe vepeee!
====
Ila nimeangalia highlights za Niger na Mali. Niger wazuri sana, kwa free kick na mashuti ya mbali. Ile mechi walikuwa wanashinda kabisa na dhidi ya Mali. Maana walinyimwa penati ya wazi kabisa na goli lao lilikataliwa bila sababu za msingi! Chakushangaza pia Refa alimaliza mpira wakati Niger wako kwenye muvu ya kufunga goli karibu kabisa na miguu kumi na nane!
Yaan serengenti boys wakaze buti na uzi kweli kweli, yaani inatakiwa tuachanganye Niger kipindi cha Kwanza hasa. Chakwanza tuwapige tatu bila na kipindi cha pili dakika za misho tuwapige 4 nyingine. Na hapo tutakuwa tumejihakikishia kuvuka nusu fainali.
Unataka kuolewa na mmoja wapo???Jamani naomba kujua, hivi kwenye hiyo timu ya Serengeti boyz kuna mwenye familia?
sasa mbona unaogopa unaiombea Serengeti ushindi mnene ili kuikwepa Ghana.Bora Serengeti ishinde ili waiepuke Ghana, tena Ghana anaweza tolewa na yeyote si unajua mpira unadunda!