Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
mali 3Mali na angola vp!??
Kwa maana hyo.. Tukipigwa inakuaje!??mali 3
Acha Majungu...Timu inachangiwa kama yatima halafu tunategemea ushindi
Haya ni makosa ya kocha. Unapoitaji draw hutakiwi kudefend unatakiwa kuattack kama unatafuta ushindi. Kocha.
True..hata kwenye mechi ila angola alikua ana defend kila vijana wakipata goli matokeo yake mechi ya kushinda 4 au tano tukaishia kushinda 2-1! Tukisonga kocha anatakiwa ajirekebishe sana
Unaangalia mpira?Serengeti wanashambulia tatizo hawana umakini wa kufunga.Haya ni makosa ya kocha. Unapoitaji draw hutakiwi kudefend unatakiwa kuattack kama unatafuta ushindi. Kocha.
Update Mkuu..What a missssssssss!!!!!