Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Wadau tupeni msimamo, mimi hapa naangalia R Madrid anaongoza goli moja la Ronaldo, Barca kashapigwa moja.
 
watoto walikuwa na margin nzuri ya ushindi, walitakiwa watulie, waweke mpira chini and improve accuracy of passes
 
Duhh... Noma hii... Wekeni updates hapaa
 
Haya ni makosa ya kocha. Unapoitaji draw hutakiwi kudefend unatakiwa kuattack kama unatafuta ushindi. Kocha.
 
Haya ni makosa ya kocha. Unapoitaji draw hutakiwi kudefend unatakiwa kuattack kama unatafuta ushindi. Kocha.

True..hata kwenye mechi ya angola alikua ana defend kila vijana wakipata goli matokeo yake mechi ya kushinda 4 au tano tukaishia kushinda 2-1! Tukisonga kocha anatakiwa ajirekebishe sana
 
Niger wakipata 2 bila, Serengeti wanapanda ndège inayofuata kurudi bongo
 
True..hata kwenye mechi ila angola alikua ana defend kila vijana wakipata goli matokeo yake mechi ya kushinda 4 au tano tukaishia kushinda 2-1! Tukisonga kocha anatakiwa ajirekebishe sana

Niliongea na Malinzi juu ya hili kwenye twita tangu jana, wasidefend kama walivyocheza na Mali.

Ila ndroo itapatikana coz they have to attack now and Niger has to defend.
 
Back
Top Bottom