Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Sijui kwa CAF wanatumia sheria gani, ila I think kinachofuata hapo ni play off kati ya Tanzania na Niger kama watatumia goal difference. Kama watatumia head to head stats basi we re fucked up, we say good bye.Iwapo timu zikilingana kwa point ktk haya mashindano, mshindi anaamuliwa vipi?
Sasa na wewembona huna hoja!!?Tatizo la watanzania wanajifariji kwa kauli za ajabu sana. Tushatolewa tayari, hakuna cha iwapo.
Okayy...nakuelewa hapo...Sijui kwa CAF wanatumia sheria gani, ila I think kinachofuata hapo ni play off kati ya Tanzania na Niger kama watatumia goal difference. Kama watatumia head to head stats basi we re fucked up, we say good bye.
Weka Fact how? Ukiangalia goal difference hapo wote ni O unless CAF wawe wanatumia system ya Spain kuangalia matokeo pindi mlipokutana nyinyi wawili.Kama kuna Best looser tutapita,ila vinginevyo safari imefika
Nafikiri kanuni ya head to head ndio itafuata, tutatoka sisi.Matokeo yakiendelea kubaki hivihivi,ni nani atasonga mbele coz GD wote itasoma 0?
Hata ukiangalia uwanjani unaweza jua nani ameshatolewa endapo matokeo yatabaki hivyo. Tanzania anahaha coz anajua effect ya hayo matokeo, hata kuwa na chance ya kuendeleaSasa na wewembona huna hoja!!?
Head to head inatutoaKwa hesabu ya goal difference