Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Humu kuna watu majuha kweli,yaanu jitu zzima zuzu linaleta habari hazihusiani kabisaa na mada husika ya Serengeti Boys
 
Sijui kwa CAF wanatumia sheria gani, ila I think kinachofuata hapo ni play off kati ya Tanzania na Niger kama watatumia goal difference. Kama watatumia head to head stats basi we re fucked up, we say good bye.
Okayy...nakuelewa hapo...
 
Sasa na wewembona huna hoja!!?
Hata ukiangalia uwanjani unaweza jua nani ameshatolewa endapo matokeo yatabaki hivyo. Tanzania anahaha coz anajua effect ya hayo matokeo, hata kuwa na chance ya kuendelea
 
Back
Top Bottom