Hitimisho; Watu wote humu ni CCM!

Ni kweli emu fikiria tuko tuna subiri polepole azungumze MTU analeta Uzi WA SIMBA na YANGA HIVI KWELI tuko sirias. Half watukanaj WA ccm unawakuta TENA KULE wanachangia MPAKA najiuliza HIVI hawaaa
 
Humu sio kwamba watu ni ccm
Ila humu watu wenye akili timamu ni wengi
Ndio maana wako upande uliopo sahihi muda wote
Oh, kumbe!! Na wewe ni mmojawapo wapo mkuu?!! Nijibu Ili nijue kama akili siku hizi ndo zimefikia hatua ya kudhalilika kiasi hiki.
 
Ahsante. Watu walio na mashaka na lissu ni sahihi kabisa kuwa nae sababu huyo ni puppet aliye 'live' kabisa.
 
Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.
Usipate taabu, anzisha polls kati ya wanaoipenda CCM na ambao hawataki hata kuisikia CCM...utapata majibu ya uhakika! Kumbuka hii ni JF, si tume ya CCM.

Mimi nina hakika huna huo ujasiri wa kuanzisha kitu kama hicho
 
Umepiga lunch mkuu?!!!
 
Chadema wana makesi kibao na wala hawana furaha wangekua wana furaha si wangekubali kuja october ila wamegoma
 
Watu wote ni CCm, kila mtanzania ni CCM.

Sasa sielewi kwanini tunaogopa Tume huru.
 
Mpinzani nchi hii ni Mdude Nyagali tu ila bahati mbaya ndo ana matatizo ya akili na ukosefu wa busara. Kama Mdude angesaidiwa na chama chake jinsi ya kuongea kisiasa bila kauli chafu angekuwa poa sana kwenye upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…