Thanx Kamanda it all comes with experience sweetheart........... many of us have urtered those sentences at some point in our lives only to find that we were wrong................ and I believe that is one of the reason zinazotufanya kuweza kutembea with our heads up looking for another person when we feel our feelings zimebakwa na our dears ambao tuliwaamini sana.
Otherwise kila ambaye amewahi kuumizwa kimapenzi angekuwa ameufunga kabisa mlango wa chumba chake cha mapenzi na ufunguo kuutupa baharini.
I always believe in positive things so whenever I get the negative I know the positive is somewhere near around
Uko sawa MJO, huwa naboreka sana na huo msemo wa kusema wanawake ndivyo walivyo au wanaume ni watoto wa baba mmoja, si kweli wanaume wote tuko sawa ndo maana mwingine anaitwa John na mwingine Hassan. Watu tupo tofauti na tabia ziko tofauti huitaji kuwa na Ulemavu ndo ujuwe John na Hassan wako tofauti kimawazo, kitabia, msimamo na mambo mengine. Wengi wanaotowa general conclusion mara nyingi ni wale walio umizwa katika mausiano yao bila kujali wao walichangia vipi katika hilo sakata. Hivyo huendelea kusambaza hicho kirusi cha msemo hata kwa mtu aliyeko kwenye mahusiano mazuri na kumfanya awe anashindwa kujitowa kiukweli katika penzi kwa kuhofia jinsia moja huwa iko vile.