Jamani take kupanikisha watu wakaenda kuwithdraw pesa zao na kufilisi benki ya Barclays, hata kinachoendelea sasa hivi katika nchi za ulaya ni kupanic kwa wawekezaji na wenye deposit ndio maana tatizo linakua kila siku.
Barclays kuwa na matatizo UK sio sababu ya Barclays Tanzania kuwa na matatizo kwani mabenki yanaendeshwa tofauti na makampuni ya kawaida, afterall sisi tuna financial regulations ambazo ni strictly sana wakati wenzetu hawakuwa nazo au zililegezwa, walikuwa wanaruhusiwa kukopesa deposit yote bila kuacha reserve wakati sisi lazima benki hiwe na reserve na mikopo inakaguliwa na BOT quarterly.
TETESI ZA AINA HIYO SIO NZURI KWENYE SOKO LA USHINDANI KAMA LA MABENKI.