- Je ni hospitali ipi unapendekeza?Sasa nataka nikafanye full blood picture,
Asante mkuuHapana Hiv/aids haiwezi kuonekana kwenye full blood picture direct ila unapofanya fbp huwa kuna parameter ambazo zinaweza kuwa mwanzo mzuri wa kufikiria Hiv japo pia sio direct maana hizo parameter zime generalize tu mfano ni kama lymphocytes zimepanda sana moja kwa moja una suspect ni viral infection au immune disorders lakini pia leukemia
Jibu fbp pekee haiwezi kuonesha moja kwa moja kama una HIV
Kuangalia damu yote kwa ujumla kama kuna infection au lahFull blood picture ndo vipimo ghani mkuu??
Nipen maarifa kidogo