coyyote
Member
- Aug 12, 2018
- 53
- 88
Wadau, habari za humu, baada ya miaka mingi ya kwenda hospitali pindi ninapo umwa tu sasa nataka niende kufanya check up ungali mzima wa afya. Sasa nataka nikafanye full blood picture, sasa katika kujiandaa kisaikolojia swali langu ni je wale wadudu hatari wa HIV pia huonekana?