HIV home test kit

HIV home test kit

Kwahiyo unataka kusema kwamba Gitaa zuri la ' Dally Kimoko ' liwe linaanza kusikilizwa mapigo yake kuanzia ngazi za Kaya / Nyumba?
Ndiyo mkuu Tena mnakwtewa kwa idadi ya wana kaya. Mimi na Asprin tunajitoboa tukiwa tunaangalia TV na majibu tunayaangalia pamoja
 
Dawa ya uhakika ya Ukimwi iliyobaki ni Kumwomba Mungu kwa bidii ili aondoe ugonjwa huo kwa mgonjwa.
Wanaojiita wanasayansi na Madaktari wamejionesha kushindwa kuutibu huu ugonjwa.
Ni maombi tu yatakayotunusuru na hili Janga.
Shida hapa ni kuwa Ugonjwa huu ukiondolewa tu watu wanarudi kule kule tena,hali itazidi kuwa mbaya zaidi kiasi cha kusababisha ndoa kuvunjika,mimba za utotoni na zile zisizotarajiwa,yaani itakuwa balaa,sipati picha itakuwaje.Ugonjwa upo lakini angalia hali ya zinaa ilivyo,ukiwa haupo hali itakuwaje..??
 
Kwahiyo unaona ni bora watu wateseke na kufa kuliko hilo wazo lako ?
Kwani watu waliishi vipi kabla ya ukimwi kuwepo ?
 
Ninawaza tu mkuu,sio ushauri..
Hilo wazo lako ni zuri kwa wewe ambaye huna maambukizi ya virusi vya hiv.
Ungekua mwathirika, au na ndugu mwathirika, usingethubutu kusema hivyo.
Maneno huwa yanauma sana kwa wanaoumizwa nayo.
 
Dawa ya uhakika ya Ukimwi iliyobaki ni Kumwomba Mungu kwa bidii ili aondoe ugonjwa huo kwa mgonjwa.
Wanaojiita wanasayansi na Madaktari wamejionesha kushindwa kuutibu huu ugonjwa.
Ni maombi tu yatakayotunusuru na hili Janga.
[emoji106]
 
Ishu inakuja kwenye suala la counselling na nyumbani huwezi ukapata iyo huduma ya counselling isipokuwa kituo cha afya na wote nadhani tunajua umuhimu wa counselling kwa mgonjwa,nadhan ni vizuri kwenda kitu cha afya kujua afya yako.
 
Screenshot_20180116-220103.png
Screenshot_20180115-182724.png
 
Nimeona matangazo hayo kuwa wanatibu maradhi ya Ukimwi kama unamgonjwa mpeleke
 
Back
Top Bottom