Ila Mimi Ni mkristo vip hapa hamna shida?We tongoza mwezi hauna tatizo ,ila tu usimtukane akikukataa usije kumuharibia mfungo wake
CC Zero IQ
Je kumtongoza nikiwa me ni mkristo hapa vipi?Hata kuoa kabisa unaruhusiwa lakini uwe muislam kama wewe ni mushilamu pita mbali.
Je kumtongoza nikiwa me ni mkristo hapa vipi?
Na nguo za sikukuu atanunuamzee baba tongoza tu ila jibu mpaka sikukuu ya idd
Changia kidogo kwenye hili.Aisee...!
Changia kidogo kwenye hili.
Honest Kuna demu mmoja mpemba hiv namkubali Sana je nikimtongoza anaweza kukubali kipindi hiki?simaanishi kufanya mapenzi mwezi Huu maana Kuna watu wana vichwa vigumu kuelewa ni kumtongoza tu nakuwa mpenzi wangu bila kufanya chochote mwezi Huu
Nipeni majibu wadau
Hapa tupo kusaidiana ebu funguka basiJaribu kwanza kumshika ata mkono, popote harafu ulete mrejesho chap kabla jua halijazama
Kwani kutongoza Kuna ubaya gani?Wewe ni moja ya majaribu kwake kwa kipindi hiki cha toba.
Epuka kuwa kuwa kikwazo kwa mwenzio, mfungo ukiisha unaweza kufanya unachotaka kufanya.