Hiv mtu akisema yeye ni virgo, anamaanisha nini?

Unakuta mtu anasema I am a 🔱, sa sijui ndo wanamaanishaga nini.
Aries (Ram): March 21–April 19
symbol of Taurus
Taurus (Bull): April 20–May 20
symbol for gemini
Gemini (Twins): May 21–June 20
symbol for cancer
Cancer (Crab): June 21–July 22

Leo (Lion): July 23–Aug. 22

Virgo (Virgin): Aug. 23–Sept. 22

Libra (Scales): Sept. 23–Oct. 22

Scorpio (Scorpion): Oct. 23–Nov. 21

Sagittarius (Archer): Nov. 22–Dec. 21

Capricorn (Goat): Dec. 22–Jan. 19

Aquarius (Water Bearer): Jan. 20–Feb. 18

Pisces (Fish): Feb. 19–March 20.

Umejibiwa then unauliza tena, ok ziko zodiac/astrological signs (nyota kwa Swahili) 12, kila mmoja ana yake kulingana na siku na mwezi aliozaliwa, Wewe umezaliwa lini?
 
🔱 Hii sio zodiac sign mkuu
 
Kama huyo hapo
 
Nimegoogle zodiac signs lakin hii sijaiona.
Sasa wewe umechanganya vitu viwili uliulizia virgo ukajibiwa, katikati ya thread umechomekea hicho kisign! Ungeuliza moja kwa moja kuwa hiyo sign maana yake nini maana hata huyo aliyeweka hapo(Idris) nafikiri hakumaanisha zodiac sign
 
Sasa wewe umechanganya vitu viwili uliulizia virgo ukajibiwa, katikati ya thread umechomekea hicho kisign! Ungeuliza moja kwa moja kuwa hiyo sign maana yake nini maana hata huyo aliyeweka hapo(Idris) nafikiri hakumaanisha zodiac sign
Ndio hicho ki-sign kwa mara ya kwanza nikadhani ni zodiac sign ndo mana nikakichomeka hapo, sio lazima kiwe ni zodiac au la, ila kama unajua maana yake unaweza ukaeleza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…