Hiv nafuu ya mwalimu ipo wapi?

Hiv nafuu ya mwalimu ipo wapi?

Je thamani ya mwalim inashushwa na viongozi wetu?

  • NDIYO

    Votes: 0 0.0%
  • HAPANA

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
  • Poll closed .
Joined
Jul 12, 2013
Posts
6
Reaction score
2
NUkuu"MNYONGE MNYONGENI LKN HAKI YAKE MPENI"Hii imekuwa kinyume kwa walimu wa manispaa ya knondoni,cfaham kama kunaurasmi wa hili lnalotendeka manspaa hii nikwa chi nzima hvhv?, kwani walimu wamekuwa wakiptishiwa maombi ya mikopo ya mishahara yao na afsa muhusika kwa awamu mbili tu(mara 2 kwa mwezi) tofauti na hapo awali walimu walikuwa wakpata mikopo kwaajili ya kutatua matatzo yao kwa wakat muafaka.Sasa cfaham utaratbu huu mpya nikwaajli ya kumsaidia mwalim au kuzid kumkandamiza?USHAURI : Afsa muhusika buni utaratbu mzuri ambao hautamumiza mwalimu anayefanya kaz ktk mazngira magum kwan kufanya hvyo hakutamkatisha mwalim tamaa ya kufanya kaz naufaham kuwa upo kwajr yakumtumikia yeye nac kumkandamiza nachukulia mikopo yao ni dharura. Kwaanaefaham zaid tupia hapo ilituzd kuelmshana......(hv kaz za chama chao n zp?):disapointed:
 
Matatizo ya walimu yapo kila mahali, Temeke kuna matatizo makubwa kuliko hayo. Wewe unalalamikia Mkopo wakati wenzako huko Temeke tangu waanze kazi mwaka 2006 hawakuwahi kupandishwa madaraja hadi leo? Kuwa mwalimu Tanzania ni kujipa adhabu ya maisha!
 
Back
Top Bottom