hiv ni kweli kuna awamu ya 3 wanafunzi waliomaliza kidato cha 6 kwenda jkt??

hiv ni kweli kuna awamu ya 3 wanafunzi waliomaliza kidato cha 6 kwenda jkt??

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
kuna tetes zimezagaa kitaa eti kuna awamu nyingine ya kwenda jkt baada ya kurud hawa wanaoingia tareh 24 mwez huu na awamu hiyo itaingia jkt mwez wa kumi mwanzon had wa 12 mwishoni afu chuo wakwanza!jaman hv hz taarifa zitakuwa na ukweli ndan yake?!?
 
Wangetoa source, tatizo ni rumuors za mtaani. But ngoja tuwasubirie wenye kujua haya mambo vyema!
 
Back
Top Bottom