FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
- #21
mkuu mpeleke hospitali ya wilaya yako na muulizie mteknolojia wa maabara wa wilaya au mratibu wa ukimwi wa wilaya.watampima na kuamua hatua zinazotakiwa kufuatwa.
Kuna muongozo maalum wa suala hili.
Nina wasiwasi na uelewa wa hao wahudumu wa AMREF!
Lakin@Meningitis nadhani wako sahihi kuna kipimo kimoja kama nilivyoweka kwenye picha kile cha blue ndio kilionyesha postive kile kama cheupe kikaonyesha negative wakarudia tena kujiridhisha na ikabidi wachukue kipimo kingine kumpima kama ana maambukizi ya magonjwa ya zinaa kukuta hana ndo wakaonelea nimrudishe after 3 month.ok nitajaribu kumpeleka hosp kama mlivyonipa ushauri thank u

