Hiv ukiona mwanaume amepaka rangi kucha zote mikononi na miguuni nin maana yake?

Khaaaaa!
 
ulimwengu umekwisha maana watoto wa kiume nao wanaenda na wakati kumbe wanapotea
 
Kama miezi mitatu hivi niliwahi kuona hii kwenye vyombo vya habari vya nje, wakioneshwa macelebrity wanaojipaka rangi za kucha. Moyoni mwangu nilikuwa ninaomba hili lisifike kwetu, kumbe loh, tayari.

Kama mabavyo nimekuwa nikiheshimu na kuwavumilia wanaovaa herini na kuning'niza suruali katikati ya masaburi, na hawa nao nitawavumilia, lakini ukweli inachusha. Tusubiri tuwaone wanavaa chachandu juu ya suruali.

Hivi huu kama si "ubwabwa" na "ukameron" ni kitu gani?
 
Hilo liko wazi huyo anakuwa anakuwa anajitambulisha kuwa ni shoga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…