Hiv ukiona mwanaume amepaka rangi kucha zote mikononi na miguuni nin maana yake?

Hiv ukiona mwanaume amepaka rangi kucha zote mikononi na miguuni nin maana yake?

Si unajua watu siku mastress kibao kiasi kwambaunaona hata wale jike halisi hawavutii na hawa jike fake wanaona bora waongeze vitu ili washindane na wale orijino pamoja ya kuwa mtaji(tg) wao baab kubwa,maana ile unatandika enetaim enedei haina dharura !
Khaaaaa!
 
ulimwengu umekwisha maana watoto wa kiume nao wanaenda na wakati kumbe wanapotea
 
Kama miezi mitatu hivi niliwahi kuona hii kwenye vyombo vya habari vya nje, wakioneshwa macelebrity wanaojipaka rangi za kucha. Moyoni mwangu nilikuwa ninaomba hili lisifike kwetu, kumbe loh, tayari.

Kama mabavyo nimekuwa nikiheshimu na kuwavumilia wanaovaa herini na kuning'niza suruali katikati ya masaburi, na hawa nao nitawavumilia, lakini ukweli inachusha. Tusubiri tuwaone wanavaa chachandu juu ya suruali.

Hivi huu kama si "ubwabwa" na "ukameron" ni kitu gani?
dsc07307-300x225.jpgimg_2862-300x200.jpg
 
Hilo liko wazi huyo anakuwa anakuwa anajitambulisha kuwa ni shoga!
 
Back
Top Bottom