Hiv ukiona mwanaume amepaka rangi kucha zote mikononi na miguuni nin maana yake?

Hiv ukiona mwanaume amepaka rangi kucha zote mikononi na miguuni nin maana yake?

Kariongo

Senior Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
112
Reaction score
5
Sijui ndo utandawazi kwan naona ck hz unakuta njemba imepaka kucha rangi sasa cjui ndo utanashati au?
 
sijawahi ona hii makitu arifu,, ipo kweli?
 
Nakuambia cku hizo wapo kibao, alafu unakuta wanazaa viatu open, mikucha ina irangi. Cjui ndo swaga wanazoita?
 
Ni maandalizi ya kuanza kuvaa sketi na vi-top,
Baadae G-string!
 
Si unajua watu siku mastress kibao kiasi kwambaunaona hata wale jike halisi hawavutii na hawa jike fake wanaona bora waongeze vitu ili washindane na wale orijino pamoja ya kuwa mtaji(tg) wao baab kubwa,maana ile unatandika enetaim enedei haina dharura !
 
anapasuliwa mayai uyo, anapengewa kamasi kwa sana
 
Back
Top Bottom