Hata uji ukiuwekea chumvi mtamu kweli. Mahindi yametoka mapya January hiiDaaah,..mdada huyo,tulikua tunapata lunch,tukawa tunajadili mambo ya january,yeye anafamilia,mi bachelor january hainihusu,so nkawa nawaskiliza tuu,bas ndo nkaskia hyo kauli,daah nilicheka sanaaaaa...hahahahaha[emoji23][emoji23],..
Mimi ninaweka iliki kama ni ta kulia wali au chapati.Ila maharage ukikaanga na kitunguu swaumu yanakuwa matamu saana aseeh.
ni zaidi ya maharage jaribu uone.
Kwa chapati yanaenda vizuri.Mimi ninaweka iliki kama ni ta kulia wali au chapati.
Huyu shemeji yako si wa kule kwetu, nikichanganya sana anaweza atapikeKwa chapati yanaenda vizuri.
Siku jaribu kuanza na swaumu na iliki pia.
[emoji23] [emoji23]Huyu shemeji yako si wa kule kwetu, nikichanganya sana anaweza atapike
Hali ni ngumu, mchunga pia utakuwa mboga ya taifa wakati kwa wengi ni majani ya sungura.