"Hiv unajua Maharage ukiweka kitunguu saumu yanakua kama nyama"

"Hiv unajua Maharage ukiweka kitunguu saumu yanakua kama nyama"

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Daaah,..mdada huyo,tulikua tunapata lunch,tukawa tunajadili mambo ya january,yeye anafamilia,mi bachelor january hainihusu,so nkawa nawaskiliza tuu,bas ndo nkaskia hyo kauli,daah nilicheka sanaaaaa...hahahahaha[emoji23][emoji23],..
 
Hata uji ukiuwekea chumvi mtamu kweli. Mahindi yametoka mapya January hii
 
Necessity is the mother of invention. Unakula maharage ya kitunguu swaumu yenye ladha kamaya nyama, huku unaepuka cholesterol ya nyama.
 
Ila maharage ukikaanga na kitunguu swaumu yanakuwa matamu saana aseeh.

ni zaidi ya maharage jaribu uone.

Menya vitunguu swaumu kisha viponde then vikaangae halafu ufuate taratibu za kawaida za kukaanga maharage...
 
Ukichanganya na uzile na tangawizi yanakua mazuri zaidi
 
Back
Top Bottom