Huwa nalipiga mwenyewe siku zingine emergence lakini.Kwani unapikagaaa au WiFi??
Mana ulivyosimuliaaa
Kwahiyo unatakaje?Daaah,..mdada huyo,tulikua tunapata lunch,tukawa tunajadili mambo ya january,yeye anafamilia,mi bachelor january hainihusu,so nkawa nawaskiliza tuu,bas ndo nkaskia hyo kauli,daah nilicheka sanaaaaa...hahahahaha[emoji23][emoji23],..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahisi yanabaki kuwa maharage, ila ukiweka kitunguu saumu tu, kingdom inabadilika
Nikajua Kweli Joh , nashukulu umenieleweshaHujamwelewa mleta mada, anamaanisha hali ilivyo nyama ni hadim ivyo harage lako ukiliwekea viungo linakuwa kama nyama kwa hali ilivyo
HahaNikajua Kweli Joh , nashukulu umenielewesha
Na nyama itakuwaje , , au ndo hali ya sasa mchicha , tembele ndo mboga pendwaHahaha,ohoo,maharage january hii yanawekwa vikolombwezo yanakua kama nyama
Yaani ulivyoaandika.kama zile enzi napiga mpira.achia baaba achia,itakufia pasi iyo.safiiiHahaha,vyuma baba,vyuma