mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 677
Binafsi sioni gonjwa hili likipungua au kutokomea hivi karibuni.
Kikubwa kinachoeneza hili gonjwa ni kitu kinachoitwa "usiri" watu hawako wazi si kwa ndugu, marafiki wala wapenzi wao.
Kila mmoja inakuwa ni siri yake.
Wengine hugunduliwa na ndugu/jamaa zao wakiwa tayari ktk hali ngumu sana.
Nchi za wenzetu za hapahapa afrika mfano Sauzi, S'land, Namibia watu wako wazi sana, wala sio ishu mtu kukwambia hali yake.
Hapa JF hatujuani lakini mtu akipata changamoto ya HIV utaona sentensi kama hizi ...."Kuna jamaa yangu....."
Kifupi, bado hatujaikubali homa hii kama ni homa ya kawaida kabisa kwa mazingira ya sasa na kuwa ipo miongoni mwetu.
Eeeh mungu tusaidie.