HIV: Usiri Unachangia Maambukizi

HIV: Usiri Unachangia Maambukizi

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
605
Reaction score
677
Binafsi sioni gonjwa hili likipungua au kutokomea hivi karibuni.

Kikubwa kinachoeneza hili gonjwa ni kitu kinachoitwa "usiri" watu hawako wazi si kwa ndugu, marafiki wala wapenzi wao.

Kila mmoja inakuwa ni siri yake.

Wengine hugunduliwa na ndugu/jamaa zao wakiwa tayari ktk hali ngumu sana.

Nchi za wenzetu za hapahapa afrika mfano Sauzi, S'land, Namibia watu wako wazi sana, wala sio ishu mtu kukwambia hali yake.

Hapa JF hatujuani lakini mtu akipata changamoto ya HIV utaona sentensi kama hizi ...."Kuna jamaa yangu....."

Kifupi, bado hatujaikubali homa hii kama ni homa ya kawaida kabisa kwa mazingira ya sasa na kuwa ipo miongoni mwetu.

Eeeh mungu tusaidie.
 
Eti Homa ya kawaida.... Hahahahahaah huijui ukimwi wewe
 
apo kwenye Mungu ebu weka herufu kubwa kwanza ndo tuendelee na mada.
 
Sikubaliani na dhana ya watu kuwa wa wazi kuhusu HIV status zao. Jamii tunayoishi bado ina nyanyapaa waathirika.
 
Ili kutokomeza HIV wote tupime damu, waliothirika waanze dose. Waliofubaza vidudu hawana uwezo wa kuambukiza wengine
 
Binafsi sioni gonjwa hili likipungua au kutokomea hivi karibuni.

Kikubwa kinachoeneza hili gonjwa ni kitu kinachoitwa "usiri" watu hawako wazi si kwa ndugu, marafiki wala wapenzi wao.

Kila mmoja inakuwa ni siri yake.

Wengine hugunduliwa na ndugu/jamaa zao wakiwa tayari ktk hali ngumu sana.

Nchi za wenzetu za hapahapa afrika mfano Sauzi, S'land, Namibia watu wako wazi sana, wala sio ishu mtu kukwambia hali yake.

Hapa JF hatujuani lakini mtu akipata changamoto ya HIV utaona sentensi kama hizi ...."Kuna jamaa yangu....."

Kifupi, bado hatujaikubali homa hii kama ni homa ya kawaida kabisa kwa mazingira ya sasa na kuwa ipo miongoni mwetu.

Eeeh mungu tusaidie.
Ni kweli ila souz nan hzo nchi maambukizi ni makubwa mno yani makubwa sana,haswa souz ni hatar sana hata cjui watafanyaje na hawajali wanafanya ngono zembe kuliko kawaida. Heri yetu mara mia.
 
Ili kutokomeza HIV wote tupime damu, waliothirika waanze dose. Waliofubaza vidudu hawana uwezo wa kuambukiza wengine
Kuna mtu mmoja alisoma kidogo to certificate ya mambo ya dawa nikamkuta Tanga huko kwenye miarobaini na tafit zake akanambia hv ilinipatikane dawa ya ukimwi yeye anafanya utafiti yule mdodo asiweze kula yani kumzuia akiwa ndani ya mwanadamu asiweze kula,sasa asipokula atakufa tu moja kwa moja hivyo hatafuti dawa ya kumuua,ila anatafuta kitu kitakachomfanya asiweze kula,nikamuona ana mawazo mbadala sijui yuko wap huyu jamaa maana nilirudi sikumkuta.
 
Ukiwa na mpenzi mwenye HIV ambae amefubaza vidudu unaweza kula kavu na usipate ugonjwa.
 
Nchi yetu tukitaka HIV iheshimike, tufanye kupima iwe Lazima kama vile kuwa na kitambukisho cha taifa, nadhan heshima itakuepo, wazir mkuu majaliwa alikujaga na waxo, la kupima HIV kwa Lazima kwenye mikusanyo ya watu km, uwanjan, matamasha, Ibadan nk. Sijui utekelezaj ulilifia wap
 
Ni kweli jamaa wanakula bata sana ila kuwa wazi imewasaidia. Fikiria wangejifichaficha km sisi hali ingekuwaje.
Ni kweli ila souz nan hzo nchi maambukizi ni makubwa mno yani makubwa sana,haswa souz ni hatar sana hata cjui watafanyaje na hawajali wanafanya ngono zembe kuliko kawaida. Heri yetu mara mia.
 
Yah nakumbuka hata rais wa dar mako.nda alikuja na wazo km hilo wkt fulan
Nchi yetu tukitaka HIV iheshimike, tufanye kupima iwe Lazima kama vile kuwa na kitambukisho cha taifa, nadhan heshima itakuepo, wazir mkuu majaliwa alikujaga na waxo, la kupima HIV kwa Lazima kwenye mikusanyo ya watu km, uwanjan, matamasha, Ibadan nk. Sijui utekelezaj ulilifia wap
 
Nchi yetu tukitaka HIV iheshimike, tufanye kupima iwe Lazima kama vile kuwa na kitambukisho cha taifa, nadhan heshima itakuepo, wazir mkuu majaliwa alikujaga na waxo, la kupima HIV kwa Lazima kwenye mikusanyo ya watu km, uwanjan, matamasha, Ibadan nk. Sijui utekelezaj ulilifia wap
Ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Cha muhimu ni kuwafahamisha wote wanaokwenda hospitali kuwa kabla ya kupatiwa matibabu itabidi wapime vipimo vyote ikiwemo HIV
 
Back
Top Bottom