Nafikiri ni kwakuwa raia wa sauzi ambao wameathirika dawa humeza mara mbili kwa mwaka(kila baada ya miezi 6) wanameza kidonge kimoja so ukimwi huonekana ni ugonjwa wa kawaida kwao tofauti n nchi zetu adhabu ya kumeza dawa kila siku na kubwa na hatuna uwezo wa kupata dawa zaoNi kweli ila souz nan hzo nchi maambukizi ni makubwa mno yani makubwa sana,haswa souz ni hatar sana hata cjui watafanyaje na hawajali wanafanya ngono zembe kuliko kawaida. Heri yetu mara mia.
Huu uwongo huu hakuna vidonge vya namna hiyo kama una ushahidi wa link fanya kuweka.Nafikiri ni kwakuwa raia wa sauzi ambao wameathirika dawa humeza mara mbili kwa mwaka(kila baada ya miezi 6) wanameza kidonge kimoja so ukimwi huonekana ni ugonjwa wa kawaida kwao tofauti n nchi zetu adhabu ya kumeza dawa kila siku na kubwa na hatuna uwezo wa kupata dawa zao
Sawa kaka hakuna.Huu uwongo huu hakuna vidonge vya namna hiyo kama una ushahidi wa link fanya kuweka.
Hata mimi sijawah ona ninachujua ni mzigo wa dawa labda useme zao ziko quality na pia wanakula vizur,hali ya hewa ina wasaidia hakuna homa ila vidonge kibao .Huu uwongo huu hakuna vidonge vya namna hiyo kama una ushahidi wa link fanya kuweka.
Hizi dawa za kila miezi sita Ulaya hupewa wale wenye matatizo ya akili ambao watasahau kunywa dawa kila siki. Tena kuwa ni sindanoNafikiri ni kwakuwa raia wa sauzi ambao wameathirika dawa humeza mara mbili kwa mwaka(kila baada ya miezi 6) wanameza kidonge kimoja so ukimwi huonekana ni ugonjwa wa kawaida kwao tofauti n nchi zetu adhabu ya kumeza dawa kila siku na kubwa na hatuna uwezo wa kupata dawa zao
Pamoja sana mkuu. Ubarikiwe.USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI
Habari wakuu, Natumaini mko poa na Christmas na hata kama uchumi hauko sawa yapaswa kushukuru MUNGU maana kikubwa ni uzima na afya tu. Dhumuni la uzi huu ni kuwapa moyo wale wote wanaoishi na Virusi vya UKIMWI wajione kama watu wa kawaida na kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha...www.jamiiforums.com
Mwalimu wetu Communicable alitueleza South pia zipo..Hizi dawa za kila miezi sita Ulaya hupewa wale wenye matatizo ya akili ambao watasahau kunywa dawa kila siki. Tena kuwa ni sindano
Sikumjibu huyo jamaa maana ameanza na kusema "uwongo" wakati hajaanza kutaka uthibitisho ina maana yeye anajua kila kitu.Hata mimi sijawah ona ninachujua ni mzigo wa dawa labda useme zao ziko quality na pia wanakula vizur,hali ya hewa ina wasaidia hakuna homa ila vidonge kibao .
Sikumjibu huyo jamaa maana ameanza na kusema "uwongo" wakati hajaanza kutaka uthibitisho ina maana yeye anajua kila kitu.
Kitu hufahamu kabla mtu hujamwambia Muongo omba source ya habari akishindwa ndo umwambie mwongo..HIV dawa zipo pia kulingana na uchumi wa nchi husika maana ni gharama dawa tunazotumia sisi nchi zenye uchumi mkubwa hawatumii kama tunavyotumia sisi.
Wengi mnaoshuhudia kuwa mtu anaweza kufanya mapenzi na mtu anayetumia dawa na asipate muwe makini.. hawa watu huchoka kutumia dawa na huweza kuacha kutumia dawa ghafla na Kinga huweza kushuka na kusababisha maambukizi... Chunga Sana.. Kama huna usiombe uwe nao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Virus anaweza asile hata miaka miaaa...!!Kuna mtu mmoja alisoma kidogo to certificate ya mambo ya dawa nikamkuta Tanga huko kwenye miarobaini na tafit zake akanambia hv ilinipatikane dawa ya ukimwi yeye anafanya utafiti yule mdodo asiweze kula yani kumzuia akiwa ndani ya mwanadamu asiweze kula,sasa asipokula atakufa tu moja kwa moja hivyo hatafuti dawa ya kumuua,ila anatafuta kitu kitakachomfanya asiweze kula,nikamuona ana mawazo mbadala sijui yuko wap huyu jamaa maana nilirudi sikumkuta.
Mkuu wew hujaguswa na homa hii kwa namna yyte?Eti Homa ya kawaida.... Hahahahahaah huijui ukimwi wewe
AkuuuuMkuu wew hujaguswa na homa hii kwa namna yyte?