feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Nafikiri ni kwakuwa raia wa sauzi ambao wameathirika dawa humeza mara mbili kwa mwaka(kila baada ya miezi 6) wanameza kidonge kimoja so ukimwi huonekana ni ugonjwa wa kawaida kwao tofauti n nchi zetu adhabu ya kumeza dawa kila siku na kubwa na hatuna uwezo wa kupata dawa zaoNi kweli ila souz nan hzo nchi maambukizi ni makubwa mno yani makubwa sana,haswa souz ni hatar sana hata cjui watafanyaje na hawajali wanafanya ngono zembe kuliko kawaida. Heri yetu mara mia.