johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbegu ya kike na ya kiume zikiungana husababisha kuzaliwa kiumbeMaana hata 26 April hatusemi ni Birthday bali Sikukuu ya Muungano
Nimekaa pale kuelimishwa
Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable π
Bakatoa mutoto mmanga CCMMbegu ya kike na ya kiume zikiungana husababisha kuzaliwa kiumbe
kwenye shirazy party hapo umempatia atataja waislam wote duniani
Umekula?Maana hata 26 April hatusemi ni Birthday bali Sikukuu ya Muungano
Nimekaa pale kuelimishwa
Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable π
Jibu hoja usijifanye huioni; muungamo wa taasisi huzaa? Kama ndivyo, mbona haisemwi Tanzania ilizaliwa 26 Aprili, 1964 kwa mfanano wa kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 Februari, 1977? Hadaa tu za kisiasa hizo.Hakuna swali hapo