Hivi 05/02/1977 ni CCM ilizaliwa au TANU na Afro Shiraz Party ziliungana na kuwa Chama kimoja?

Hivi 05/02/1977 ni CCM ilizaliwa au TANU na Afro Shiraz Party ziliungana na kuwa Chama kimoja?

Mwashambwa kafanikiwa kuwa chawa tu. Lakini muandiko wake unaonesha ni kijana wa miaka ya 90's tu.

Mambo ya TANU hayafahamu.
 
Na mimi nitawaulizeni ''Hivi Tanzania ilizaliwa 1964 au Tanganyika na zanzibar ndio viliungana mwaka huo?''
 
"Muungano ni kama koti, lilkikubana unalivua" - A.KARUME
 
Hakuna swali hapo
Jibu hoja usijifanye huioni; muungamo wa taasisi huzaa? Kama ndivyo, mbona haisemwi Tanzania ilizaliwa 26 Aprili, 1964 kwa mfanano wa kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 Februari, 1977? Hadaa tu za kisiasa hizo.
 
Back
Top Bottom