Hivi 20% yuko wapi?

MANILABHONA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
462
Reaction score
350
Jamani nisaidieni namtafuta 20% kwa muda sasa sijui yuko wapi. Mimi ni shabiki wa nyimbo zake sana na sidhani kama kuna mwanamuziki mwenye sauti nzuri kama huyu bwana. Naona amekaa kimya sana
 
naskia sijui yupo kigamboni kwa mamake..anafanya kazi ya kutengeneza majiko yamkaa sijui masufuria.
 
Duh nilivyokuwa npenda nyimbo zake kazima kama mshumaa
 
Jamani nisaidieni namtafuta 20% kwa muda sasa sijui yuko wapi. Mimi ni shabiki wa nyimbo zake sana na sidhani kama kuna mwanamuziki mwenye sauti nzuri kama huyu bwana. Naona amekaa kimya sana
mkuu yupo KIMANZICHANA KWAO ameamua kurudi kwenye game na sasa anajiandaa kutoa nyimbo mpya pamoja na yule manwater asante kama unalingine lete
 
Mbona ametoa wimbo mpya,producer man water unaitwa ATOE kama mwezi mmoja uliopita,na kuna mdau aliuweka humu jF.hata mimi nili udownload ulikuwa vizur kwa kweli.
 
Jamani nisaidieni namtafuta 20% kwa muda sasa sijui yuko wapi. Mimi ni shabiki wa nyimbo zake sana na sidhani kama kuna mwanamuziki mwenye sauti nzuri kama huyu bwana. Naona amekaa kimya sana
Duh! Utakuwa mlugaluga wewe!
 
Mbona ametoa wimbo mpya,producer man water unaitwa ATOE kama mwezi mmoja uliopita,na kuna mdau aliuweka humu jF.hata mimi nili udownload ulikuwa vizur kwa kweli.
watu hawataki ujumbe wanataka umejipodoa ukapodoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…