MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 350
Jamani nisaidieni namtafuta 20% kwa muda sasa sijui yuko wapi. Mimi ni shabiki wa nyimbo zake sana na sidhani kama kuna mwanamuziki mwenye sauti nzuri kama huyu bwana. Naona amekaa kimya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si kwelnaskia sijui yupo kigamboni kwa mamake..anafanya kazi ya kutengeneza majiko yamkaa sijui masufuria.
mkuu yupo KIMANZICHANA KWAO ameamua kurudi kwenye game na sasa anajiandaa kutoa nyimbo mpya pamoja na yule manwater asante kama unalingine leteJamani nisaidieni namtafuta 20% kwa muda sasa sijui yuko wapi. Mimi ni shabiki wa nyimbo zake sana na sidhani kama kuna mwanamuziki mwenye sauti nzuri kama huyu bwana. Naona amekaa kimya sana
Duh! Utakuwa mlugaluga wewe!Jamani nisaidieni namtafuta 20% kwa muda sasa sijui yuko wapi. Mimi ni shabiki wa nyimbo zake sana na sidhani kama kuna mwanamuziki mwenye sauti nzuri kama huyu bwana. Naona amekaa kimya sana
watu hawataki ujumbe wanataka umejipodoa ukapodokaMbona ametoa wimbo mpya,producer man water unaitwa ATOE kama mwezi mmoja uliopita,na kuna mdau aliuweka humu jF.hata mimi nili udownload ulikuwa vizur kwa kweli.
watu hawataki ujumbe wanataka umejipodoa ukapodoka
Teh teh teh tehwatu hawataki ujumbe wanataka umejipodoa ukapodoka