Hivi 50 cent ana nini na Floyd Myweather?

Opera Min

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
890
Reaction score
658
Nacheki post kibao za 50 kwenye instagram dizaini kama ana mdisi sana floyd....kuna moja kamuambia "floyd una sema f@ck 50,TI and nelly wakati nelly kamgonga mama wa mtoto wako wa kwanza na mchumba ako"

wana ugomvi hawa watu au? maana navyo jua mimi 50 ni mshikaji wa floyd na hata kwenye mapambano kibao ya ndondi wana kuaga wote.
 
Inaonesha wewe unajua zaidi yetu.. Hebu tujuze zaidi....!
 
Inavyosemekana 50 aliwahi kumla demu wa Mayweather kipindi kaenda jela, na alipotoka hawakuwa marafiki tena
 
Aisee! Uwe una google muda mwingine ndugu kupata habari kabla hujapost. 50 na Floyd walivunja urafiki zamani sana.

Inasemekana walipishana katika mambo yao ya pesa. Sahizi 50 ni kama yuko obsessed na Floyd kila kitu anamuongelea Floyd. Floyd playing smart huwa hajibu na 50 ndio anaonekana mwehu

Kwa hii latest video aliyopost, 50 anasadiki Floyd hawezi kusoma vizuri na si mzuri wa grammar huku 50 mwenyewe akikosea maneno kwenye ile video alisema except badala ya accept na ASL badala ya ALS
 
Urafiki wao ulivunjika toka mwaka jana mwanzoni tena walikuwa wanajibizana sana twitter,Floyd katulia lakini 50 bado anamchokonoa.50 always ni mtu wa bifu,deal zake haziend bila kutafuta bifu na mastaa wenzake.Wajanja huwa wanaescape kufanya bifu na huyu jamaa huwa akubali kushindwa .Ja Rule alisanda mazima na kukiri kwamba bifu lake na 50 ndo lilimaliza career yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…