kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Nina ndugu yangu alikuwa ameacha pombe kama miaka minne hivi iliyopita.
Sasa hizi sikukuu za juzi: Akaniambia: "Aisee, ngoja niinjoi kinywaji kuanzia krismasi mpaka mwaka mpya tu, halafu mambo yarejee kama awali."
Jamani, Leo hii (tarehe 15/1/2022) yuko kaunta ana bia ya nne! Jamani kuna kuacha kweli?
Nini dawa ya pombe?