Hivi addiction ya pombe ina dawa kweli?

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
1,550
Reaction score
1,742
Nina ndugu yangu alikuwa ameacha pombe kama miaka minne hivi iliyopita.

Sasa hizi sikukuu za juzi: Akaniambia: "Aisee, ngoja niinjoi kinywaji kuanzia krismasi mpaka mwaka mpya tu, halafu mambo yarejee kama awali."

Jamani, Leo hii (tarehe 15/1/2022) yuko kaunta ana bia ya nne! Jamani kuna kuacha kweli?

Nini dawa ya pombe?
 
Bro hii kitu kama uanachama wa chaputa, leo baa maids nimewaamsha nipate maji mpaka saa Kumi jioni hivi nirudi home.

Niliweka malengo nikafaulu mpaka tarehe nne... to hell maisha yenyewe ndio hayahaya mwabie mwamba anywe mbili bili kwangu.
 
Gwe Kisa ndeke umundu akome misi ukulonda aje ntungulu?
 
Ipo, mwambie apitie hiki kitabu. Anaweza kisoma bure ndani ya maktaba app.

 
Your browser is not able to display this video.
 
Dawa ya pombe ni njiti tu

andika wosia kwamba...
"Jamani nikinywa pombe mnilambe fimbo 100 kwa lazima"
utaacha tu
 

Aisee pole, sijui uzame inbox ama nikipata muda nitajaribu kuweka mbadilishano wa mawazo hapahap
 
Rosa ree anakwbia acha wana wanywe pombeee...

Ila damn nimepanga kuacha au kupunguza kabisa mwaka huu... tatizo insomnia
 
dawa ya pombe ni kuinywa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…