Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kuna movie 🎦 nimetoka kucheki inaitwa trancedence (2014)...
Kwenye hiyo movie jamaa Wali tumia nano technology ku implant human consciousness kwenye sever za internet kwa kutumia quantum computers..
Issue walobugi ni kuwa ile consciousness ilikuwa ni ya mtu mmoja pekee na kingine haikuwa na emotional quotient so ilivyo teka network ikaanza kufanya maamuzi kutumia irrational choices based on egoic data base za jamaa waliechukua sample.
AI kafanya machafuko na kuta ku control maisha ya watu wote.
Nilicho jofunza ni kuwa... AI NI MKUKI WENYE NCHA PANDE ZOTE.
Ni kuwa wakati wengine wanaitumia AI kufanya maisha yawe rahisi...
Wamatumbi wanaitumia kutengeneza memes za kumwaibisha msanii au mtu maarufu. Na kufanya vitu visivyo na tija.
Nahisi kuna muda hizi kazi za maofisini zitakuwa completely taken by AI automation sijui tutafichia wapi.
Mimi naona kabisa a total extinction of the human race in the near future because tunakua kui hand AI kila jambo la kibanadamu..
Imagine Saizi mtu anaweza ku hat na bot, namna ya kutongoza manzi ikawa I najibu yenyewe.
Watu hawana human essential skill anymore.. Mtu hajui lugha mama, mfano mimi mwenyewe kuchanganya kiswanglish aisee tu naelekea kubaya.
Nawasihi wazazi msiwaachie watoto haya ma vifaa kama simu mnawaharibu. Jaribuni kuwapa parental guide. Tunauwa kizazi. Leo tu Nimesoma Millard ayo kuna msichana wa miaka 16 kazuiliwa na mama yake mlemavu kwenda kuparty si akampiga mama ake na kitu chenye ncha kali akafa. Daah
Sasa unakaa unaji Uliza huyo msichana alipata wapi huo ujasiri kama sio kukosa maadili. Na kingine ukute alikuwa ameahidiana na dume akapigwa miti akona na alikuwa ana nyege tu ndo zikamfanya amuuwe mama ake mzazi. Inasikitisha sana.