Hivi Air Tanzania ni kweli ndege zenu zote za kuelekea Kilimanjaro zimejaa, au ni usanii tu?

Ndege, treni, mabasi vyote hivyo vimejaa.
Wadau sasa hivi wanatafuta zile coaster za pale Biafra wanachangishana nauli wanaenda Moshi.
Huo ndio usafiri pekee uliobaki.
 
Wakuu,

Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.

Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?

View attachment 1655205
JRO! Hii ni wapi? Inawezekana hiyo JRO haimo kwenye ratiba yao hivyo kulipa jibu hilo, jaribu kuandika nina kamili huenda utapata jibu tofauti.
 
Huwezi kufanya usanii kwenye kutafuta hela, endelea tu kuangalia tarehe za mbele,ukumbuke pia huu ni msimu wa sikukuu na mwisho wa mwaka wateja ni wengi sana...
Mbona wamefanya usanii kule Chato,wanataka kupeleka Ndege sehemu ambayo haina. abiria/porini (Kijiji Cha wavuvi) ili ionekane kuwa,uwanja haukujengwa kimakosa.
 
JRO! Hii ni wapi? Inawezekana hiyo JRO haimo kwenye ratiba yao hivyo kulipa jibu hilo, jaribu kuandika nina kamili huenda utapata jibu tofauti.
Hahahahaha..
Just hahahaha
 
JRO! Hii ni wapi? Inawezekana hiyo JRO haimo kwenye ratiba yao hivyo kulipa jibu hilo, jaribu kuandika nina kamili huenda utapata jibu tofauti.
Umeshawahi kukata tiketi ya ndege mkuu?
 
Mamaangu ndo kanichekesha hadi now nacheka kinoma!

Anafosi leo apate ticket ya ndege kwenda mwanza tunamuuliza wiki zote ulikuwa wapi au mzuka wa Xmas [emoji23][emoji23][emoji1787]

Na hatapata yule, usafiri mgumu sasa hivi
 
Wakuu,

Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.

Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?

View attachment 1655205
Treni umejaribu? Ndege umechelewa kukata mkuu.labda kwa sasa uwe unatokea Kilimanjaro kuja Dar
 
Mbona wamefanya usanii kule Chato,wanataka kupeleka Ndege sehemu ambayo haina. abiria/porini (Kijiji Cha wavuvi) ili ionekane kuwa,uwanja haukujengwa kimakosa.
Hii mbuga ya wanyama Chato ni kwa ajili ya wavuvi?

Hii hoteli ya kitalii Chato ni kwa ajili ya wavuvi?

Sio anaweza kukosa kashakosa haijui december huyo [emoji3]
KUNA sababu zipu ndege zisiwe hata na trip kumi ISHIRINI AU NYINGII TU kwa siku kuelekea KIA? NI MSIMU WA BIASHARA. UKIELEWA NAULI ZA NDEGE HATA ASIPOKUWEPO ABIRIA WA KURUDI ZIMEJIFIDIA HUMOHUMO? MABASI YAMESHAANZA KWENDA MARA 2 KWA SIKU.
 
Hii mbuga ya wanyama Chato ni kwa ajili ya wavuvi?

Hii hoteli ya kitalii Chato ni kwa ajili ya wavuvi?

J's, hapo huwa napita kula chakula nikiwa safarini,unapajua au unapaona kwenye mitandao?
,hiyo mbuga haina wanyama licha ya kusombwa na maroli,
Unamjua mwenye J's Motel? kupata wateja hadi awe mapumzikoni au kikazi?
Angalau palipo changamka na mzunguko wa kibiashara ni Katoro/Buseresere au mganza.
Usilete ushabiki kwenye Mambo ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…