Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JRO! Hii ni wapi? Inawezekana hiyo JRO haimo kwenye ratiba yao hivyo kulipa jibu hilo, jaribu kuandika nina kamili huenda utapata jibu tofauti.Wakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
View attachment 1655205
Kata ya Dar-Mza-Jro unamaliza ubishi!Officers wa serikali si wamezuiwa kwenda likizo?
Nenda kaanzie safari Uberigiji kenge weweWakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
View attachment 1655205
Sasa wadanganye ili wapate nini? Hujui wachaga wanaelekea makwao?Wakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
View attachment 1655205
Mbona wamefanya usanii kule Chato,wanataka kupeleka Ndege sehemu ambayo haina. abiria/porini (Kijiji Cha wavuvi) ili ionekane kuwa,uwanja haukujengwa kimakosa.Huwezi kufanya usanii kwenye kutafuta hela, endelea tu kuangalia tarehe za mbele,ukumbuke pia huu ni msimu wa sikukuu na mwisho wa mwaka wateja ni wengi sana...
Hahahahaha..JRO! Hii ni wapi? Inawezekana hiyo JRO haimo kwenye ratiba yao hivyo kulipa jibu hilo, jaribu kuandika nina kamili huenda utapata jibu tofauti.
Umeshawahi kukata tiketi ya ndege mkuu?JRO! Hii ni wapi? Inawezekana hiyo JRO haimo kwenye ratiba yao hivyo kulipa jibu hilo, jaribu kuandika nina kamili huenda utapata jibu tofauti.
Akina mushi na massawe wameishafanya vitu vyao tumia tereni !
Treni umejaribu? Ndege umechelewa kukata mkuu.labda kwa sasa uwe unatokea Kilimanjaro kuja DarWakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
View attachment 1655205
Hii mbuga ya wanyama Chato ni kwa ajili ya wavuvi?Mbona wamefanya usanii kule Chato,wanataka kupeleka Ndege sehemu ambayo haina. abiria/porini (Kijiji Cha wavuvi) ili ionekane kuwa,uwanja haukujengwa kimakosa.
Hiyo treni nayo ilishajaa muda labda akatafute tiketi za kulangua.Akina mushi na massawe wameishafanya vitu vyao tumia tereni !
KUNA sababu zipu ndege zisiwe hata na trip kumi ISHIRINI AU NYINGII TU kwa siku kuelekea KIA? NI MSIMU WA BIASHARA. UKIELEWA NAULI ZA NDEGE HATA ASIPOKUWEPO ABIRIA WA KURUDI ZIMEJIFIDIA HUMOHUMO? MABASI YAMESHAANZA KWENDA MARA 2 KWA SIKU.Sio anaweza kukosa kashakosa haijui december huyo [emoji3]
Hii mbuga ya wanyama Chato ni kwa ajili ya wavuvi?
Hii hoteli ya kitalii Chato ni kwa ajili ya wavuvi?