Hivi airform bado zinatengenezwa

Hivi airform bado zinatengenezwa

Manina, watu mna data aisee, nakumbuka nikiwa sec milambo, zilikuwa zinatumika sana, unaipaka stamp yake mafuta ya brake mhuri unatoka unaitumia stamp tena kwa barua nyingine, dadadeki, maisha ya boarding raha sana, na barua likuwa inaenda na kumfikia mlengwa
Aisee umenikumbusha habari ya stempu kuifuta na mafuta ya breki! Hatari.
 
Back
Top Bottom