Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

unaweza kuta anakushangaa tu.pengine yeye mwenyewe ndo joycelene.maanake hashindwi kuwa na aidii mbili na zaidi.again ana access zote 99

Lol! Itakuwa ishakula kwangu. Manake hilo shairi nililomtungia hata cleopatra hajawahi kutungiwa
 
naona mchuchu karudi
 
masa ni mchungaji mwema.
na mchungaji mwema huwalinda kondoo wake

chrispin wewe ni SHEMASI

Mkuu umeniumizia mbavu zangu. Lol! Manake mpaka hapo we umeshajimegea cheo cha askofu, kadinali au Papa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…