Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Mkaribishe kanisani mpwa. Inaelekea baaaado sana kulijua neno huyu.
Magehema, anahitaji sala ya toba na ubatizo wa maji mengi....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkaribishe kanisani mpwa. Inaelekea baaaado sana kulijua neno huyu.
unaweza kuta anakushangaa tu.pengine yeye mwenyewe ndo joycelene.maanake hashindwi kuwa na aidii mbili na zaidi.again ana access zote 99
Wala usimtokee Joy, mijitu mingine haitaniwi...!
asante anaweza kufanya kweli?
hahahah!sawa baba mchungaji.
Shorwe keisha ruka zake looh ngoja nijaribu PM!
asante anaweza kufanya kweli?
mbona unakosea speling unatetemeka?
Unajua tena hizi dawa za kichina hapa mjini akikushika mkono tu....simalizii
ameiandika ki-kyela kyela hiyo
Hapana Joy, joka la kibisa huwa haling'atagi. Halina meno. Nijibu PM yangu basi!
sijaipata
sijaipata
Mapingo ya moyo yalianza kwenda kasi, naogopa zima hapa JF...
masa ni mchungaji mwema.
na mchungaji mwema huwalinda kondoo wake
chrispin wewe ni SHEMASI