Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

shemasi chrispini mwenyewe!

mimi ni mkatekista tu,sijui kilatini
Kachomoa ligi nilitaka twende nae sawa au tuanzishe thread yetu ya dead language/latin
 
Aaaaaah Crispin, mbona unamvua nguo dada wa watu?
 
Duh, huyu baada ya show lazima kikwapa kitakuwa kinatema sana, huwezi kula mzigo hata kama umelewa...

Duh endeleeni.
 
yupo sana tena nakaa naye jirani huku mitaa ya sinza lion,ni PM nikupe contact zake
 
mambo dada,

naona mada imebadilika si unajua ugonjwa wao.

poa kabsa Joy hofu kwako tu....naona wazee wamekuvamia mami kuwa nao makini sana sana Masa na Chriss...sio watu wazuri....
 
poa kabsa Joy hofu kwako tu....naona wazee wamekuvamia mami kuwa nao makini sana sana Masa na Chriss...sio watu wazuri....

Lol! Mama unanibania. Kizuri kula na nduguyo.
 
geoff swali lako hata mie lilikuwa linaniumiza kichwa katika safu nzima ya wadada wa twanga pepeta napenda saaana kumuona Aisha Madinda akifanya kazi yake ,anaiweza saaana

lakini swali mbona sasa haonekani???
 
ndo hapo sasa FL,

huyu alikuwa tishio.sasa naona mara ghafla mara ghaflaaaaaaaa!
niliwahi kujiuliza pia kuhusu banza,lakini nilipomwona mwananyamala hosp,niliamua kukaa kimya!
sasa huyu sijui.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…