mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Alipoachana na fikiri madinda alijitumbukiza kwenye mapenzi na muuza ngada mmja ibra aka lipmba jamaa ndy alimuingiza kwenye matumizi haswa ya madawa kwa kasi!Yeah
Jr[emoji769]
Dah enzi hzo tangwa mango garden ilikuwa never miss "ile shika ungoo watu tuko na bia zetu tumezikombatia"[emoji23] [emoji23]
Ilifika mpk hatua mpk watu wanaingiaa bureee...mkiingiaaa ndani mobbb lazima mzee choki akikuonaaa ataitikiaaa"watoto wa kinondoniiiiiii"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwa shidaaaa ila aisha alikuwa na mshepuu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app