Hivi akina Mzee Chenge mbona wapo kimya hivi?

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
302
Reaction score
295
Ameishilia wapi huyu Mwamba? angalau angesema kitu kwa yanayoendelea! Au mambo ya "vijesenti" vya mboga bado yamemkaba?
 
Ameishilia wapi huyu Mwamba? angalau angesema kitu kwa yanayoendelea! Au mambo ya "vijesenti" vya mboga bado yamemkaba?
Yanayoendelea wapi, mbn mpumbavu hivyo? Mzee wa watu anajua yanayoendelea ktk hilo bichwa lako?
 
Atakuwa anapumzika kwa sasa, yeye uzee umewahi kwake zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…