GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wala huhitaji 'Akili' kubwa au 'Kubishana' mno pale tu ukiambiwa kuwa Mchezaji Clatous Chota Chama ni 'Football Genius ' duniani na mbinguni pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As vita timu mbovu?, Nkana timu mbovu?, Sevilla timu mbovu?Chama mpaka acheze na vitimu vibovu wachezaji mabeki wahongwe ndio anaonekana, hakuna mchezaji hapo
acha uzaramo basi mdogo wangu! (Joke)Wala huhitaji 'Akili' kubwa au 'Kubishana' mno pale tu ukiambiwa kuwa Mchezaji Clatous Chota Chama ni 'Football Genius ' duniani na mbinguni pia.
TFF imeamua kua ile "Assist" itakua na Value sawa na "Assist" 20 za kawaida. So CCC ndo anaeongoza kwa assist now.Wala huhitaji 'Akili' kubwa au 'Kubishana' mno pale tu ukiambiwa kuwa Mchezaji Clatous Chota Chama ni 'Football Genius ' duniani na mbinguni pia.
As vita timu mbovu?, Nkana timu mbovu?, Sevilla timu mbovu?
Na yanga ikiwepo ni timu mbovu?
Hao wote chama aliwaka, asa sijui hoja yako umeiokota wapi.
Nafahamu, vipi kuhusu hizo zingine?Sevilla usiihesabu, ile walikua wanapasha na kuenjoy. "Friend mechi"
huyo mchezaji angekuwa kweli ni jiniasi asingekuwa anacheza kwenye hii ligi ya utopolo!Wala huhitaji 'Akili' kubwa au 'Kubishana' mno pale tu ukiambiwa kuwa Mchezaji Clatous Chota Chama ni 'Football Genius ' duniani na mbinguni pia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli yani mbona chama mwenyewe anaonekana tu kwenye timu mbovu, Alionekana kwa Nkana, As vita, Utopolo fc, na Jana kaonekana kwa Biashara zote timu ambazo ni mbovuChama mpaka acheze na vitimu vibovu wachezaji mabeki wahongwe ndio anaonekana, hakuna mchezaji hapo
Wa hapa hapa huyo tako moko.Wala huhitaji 'Akili' kubwa au 'Kubishana' mno pale tu ukiambiwa kuwa Mchezaji Clatous Chota Chama ni 'Football Genius ' duniani na mbinguni pia.
Chama mpaka acheze na vitimu vibovu wachezaji mabeki wahongwe ndio anaonekana, hakuna mchezaji hapo
WIVU utakuua. That's y Huna maendeleo yyteChama mpaka acheze na vitimu vibovu wachezaji mabeki wahongwe ndio anaonekana, hakuna mchezaji hapo