Hapa ni kutafuta kujimwambafai tu lakini tupo level tofauti Sana!Ndio hao hao
Umesahau Simba vs Sevilla? Mbona kawaida sanaJana niliwaona kina Lendowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misry!
Leo hii natafakari hivi Hawa jamaa waliocheza Jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!?
Aisee ...ngoja tuone...Mungu Ni Mwema!
Unafananisha sevilla na Bayern? We kweli mbumbumbu fcUmesahau Simba vs Sevilla?mbona kawaida sana
Jana niliwaona kina Lendowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misry!
Leo hii natafakari hivi Hawa jamaa waliocheza Jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!?
Aisee ...ngoja tuone...Mungu Ni Mwema!
Man down!Mkuu subirini msumari wa moto taifa na misri.
Labda mfe na AS Vita tu nje ndani ndio option iliyobaki.
Kila la kheri watani katika kutia taifa aibu.
Man down!
I repeat man down!
Do you copy?
Over?
(Mtani[emoji23])
Hahaahha fara ww πππ SimbaAL WAHEDI, THALATHA BIN HAMSA ZINAWAHUSUππππ
We ndo unapenda kukariri, hao si tuliwafunga mwaka juzi kwa mkapaUnafananisha sevilla na Bayern? We kweli mbumbumbu fc