AL WAHEDI, THALATHA BIN HAMSA ZINAWAHUSU[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AL WAHEDI, THALATHA BIN HAMSA ZINAWAHUSU[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wepesi sanaMbona wepesi tu hao,
si unaona walivyopigwa jana
Ohoooo!!!yamekuwa mengine leo.Ni 5 and above hakuna msalie mtume
Pole mkuu.Mkuu subirini msumari wa moto taifa na misri.
Labda mfe na AS Vita tu nje ndani ndio option iliyobaki.
Kila la kheri watani katika kutia taifa aibu.
Kama vipi kunyweni sumu mfe kabisaNOMA SANA, AIBU KWA TAIFA
Zinawahusu kina nani?AL WAHEDI, THALATHA BIN HAMSA ZINAWAHUSU😆😆😆😆
🤣🤣....."Uto wanacheza kama wapo vitani"Simba akikutana na team kubwa kubwa zinazojua mpira Simba huwa inaupiga haswa full biriani yan, ila ikikutana na wasiojua mpira Kama Uto, Uto wanacheza mpira kama wako vitani
Dah agiza Soda mkuu nakuja kulipa, kama ulishaiona mechi live kabisaSimba wako vizuri. Yanga kuongoza haiwafanyi simba kuwa vilaza, team ipo kwenye hali nzuri, nina uhakika itaonyesha mchezo mzuri utakaoleta faida.
Habari yakoMkuu subirini msumari wa moto taifa na misri.
Labda mfe na AS Vita tu nje ndani ndio option iliyobaki.
Kila la kheri watani katika kutia taifa aibu.
😀 #RudiaMkuu subirini msumari wa moto taifa na misri.
Labda mfe na AS Vita tu nje ndani ndio option iliyobaki.
Kila la kheri watani katika kutia taifa aibu.
Sasa wameshakuja una la ziada sisi sio kama utopolo tunacheza mpira kupitia magazetiJana niliwaona kina Lewandowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misri.
Leo hii natafakari hivi hawa jamaa waliocheza jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!?
Aisee ...ngoja tuone...Mungu Ni Mwema!
Updates:
Na Leo wameichapa Pelmeras kwa Penalty 3-2 !
Na wametwaa nafasi ya tatu ya Ubingwa wa Dunia!
Na leo kafa tena cha nguruweMnasahau mapema sana , fungua hii link
We uliyepanga kujitoa ndio unatia aibuMkuu subirini msumari wa moto taifa na misri.
Labda mfe na AS Vita tu nje ndani ndio option iliyobaki.
Kila la kheri watani katika kutia taifa aibu.